Facebook

Sunday, 8 June 2014

Mapenzi ya Jennifer Lopez na Casper Smart Yamekwisha


Mapenzi ya Jennifer Lopez na Casper Smart Yamekwisha



Jennifer Lopez mwenye umri wa miaka 44 hivi sasa ameachana na Casper Smart mwenye umri wa miaka 27.
j lo na casper
TMZ imeripoti kuwa kulikuwa na majanga ya kutoelewa kati yao na chanzo kinasema walitengeana tangu miezi miwili iliyopita lakini sasa imekuwa kuachana rasmi.
Hata hivyo inasemekana kuwa wamefikia maamuzi hayo kwa pamoja na wamekubaliana kuwa marafiki tu.
Chanzo cha kuachana kwao bado hakijadhihirishwa na vyanzo vinasema kuwa kuachana kwao hakuna uhusiano wowote na tatizo la Casper la kutumiana texts na mtu ambaye ana hisia za kutaka kuwa tofauti na maumbile yake.



Tuko katika maboresho hivi karibuni blog hii itakuwa ni site ambayo itaitwa www.bantutz.com ni katika hatua za kuboresha huduma zetu za kutoa habari na burudani.Tutakuja katika muonekano mpya na bora zaidi.Vitu vizuri vipya usivyotarajia utaviona na kufurahia kupitia www.bantutz.com....

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment