Ni dunia ya maajabu yasiyoisha, matukio ya kushangaza kila kukicha. Na hili ni tukio jingine.
Nchini Nigeria kuna taarifa kuwa mwanamke mmoja amejifungua mtoto baada ya kutunza ujauzito kwa miezi tisa lakini cha kusikitisha ni kwamba alijifungua mtoto ambaye ana kichwa cha nyani.
Muuguzi wa hospitali aliyemsaidia mama huyo kujifungua alieleza kuwa alitokwa na damu nyingi sana hali iliyowasababisha kupanga kumfanyia upasuaji asijifungue kwa njia ya kawaida.
Walipofika katika chumba cha upasuaji, mwanamke huyo alianza kusukuma mtoto na kuonesha kila dalili za kujifungua bila upasuaji lakini mtoto wake alitanguliza miguu badala ya kichwa.
Baada ya kujifungua wauguzi walishikwa na butwaa kuona mtoto mwenye miguu kiwiliwili cha binadamu lakini ana sura ya nyani na alifariki muda mfupi baadae.
Tuko katika maboresho hivi karibuni
blog hii itakuwa ni site ambayo itaitwa www.bantutz.com ni katika hatua za
kuboresha huduma zetu za kutoa habari na burudani.Tutakuja katika muonekano
mpya na bora zaidi.Vitu vizuri vipya usivyotarajia utaviona na kufurahia
kupitia www.bantutz.com....
0 comments:
Post a Comment