Kaka yake marehemu Paul Walker, Cody Walker ambaye alichukuliwa na
waandaaji wa Fast & Furious kuigiza uhusika wa ndugu yake ili
kumalizia kipande cha Fast & Furious 7 ameteka umakini wa waandaaji
hao kwa kipaji alichonacho.
Kwa
mujibu wa MailOnline, waandaaji wamevutiwa na jinsi alivyoweza kuigiza
filamu hiyo kwa kuvaa uhusika wa Paul Walker aliyeikuwa anatumia jina la
Brian O’Conner na hivyo wameamua kumpa mkataba binafsi pindi
atakapomaliza sehemu hiyo.
“Cody, hawezi kuliziba pengo la Paul, lakini watayarishaji
walifurahishwa na jinsi alivyoweza kuingia kwenye filamu hiyo na
kuwasaidia kumalizia kipande cha mwisho cha kaka yake na Cody anafanana
na Paul, ni mcheshi.” Kimesema chanzo hicho.
“Itakuwa ni heshima kwa Paul kwa kuwa Cody analibeba jina la Walker
kwenye filamu za Fast & Furious.” Kimeongeza chanzo hicho.
Baada ya Fast & Furious 7, waandaaji wamepanga kumuonesha Brian
O’ Conner akistaafu ili Cody Walker aingie kama mhusika mpya kabisa
kwenye filamu hiyo.
Tuko katika maboresho hivi karibuni
blog hii itakuwa ni site ambayo itaitwa www.bantutz.com ni katika hatua za kuboresha huduma zetu za
kutoa habari,tutakuja katika muonekano mpya na bora zaidi.
Related Posts:
Filamu aliyoigiza Nick Minaj yaongoza kwenye chat wiki hii.............
Filamu iliyochezwa na mastaa wa Marekani “The Other Woman” akiwemo
rapper wa Young Money Nicki Minaj imefika namba moja kwenye filamu kubwa
wiki hii kwenye American Box Office .
Filamu hii ya mapenzi na v… Read More
Unakijua alichokisema Prof Jay kuhusu Diamond kuelekea tuzo za MTV Africa...........
Endelea kutembelea katemimethsela.blogspot.com kufahamu kauli mbalimbali za wasanii na maisha yao kiujumla....
… Read More
Diamond amshushua shabiki huko twitter.....
Kupitia mtandao wa kijamii wa Twitter,
makubwa yamkuta follower mmoja wa msanii marufu hapa Tzee Dangote aka
Diamond Platnumz, baada ya Diamond kupost picha yake nzuri tu, huku
aki-show off tattoo zake, basi ishu ilikuwa… Read More
Jokate,Juma Nature watifuana...............
PASUA
jipu! Mastaa wawili wenye majina makubwa Bongo, mwanamitindo Jokate
Mwegelo ‘Kidoti’ na Mbongo-Fleva Juma Kasim ‘Juma Nature’ wanadaiwa
kuacha mshangao kwa wasanii wenzao baada ya kutifuana, Ijumaa Wiki… Read More
Sababu kamili ya P-Funk kufunga ndoa ya siri hii hapa.............
Baada ya kuishi maisha ya kisela kwa muda mrefu, hatimaye mtayarishaji
nguli wa muziki Bongo, Paul Mathyasse ‘P Funk’ ameoa kwa siri.
Mtayarishaji nguli wa muziki Bongo, Paul Mathyasse ‘P Funk’ wakati wa
harusi … Read More
0 comments:
Post a Comment