Hizi ni picha 10 za Diamond zikimuonyesha alipokuwa katika maandalizi ya mwisho ikiwa ni pamoja na interview kadhaa alizofanya kabla ya tuzo kuanza kutolewa,kama una Dstv tuzo hizi utazishuhudia kupitia channel 322.
Marlon Wayans ambaye ni miongoni mwa Waigizaji na pia mchekeshaji maarufu nchini Marekani ambaye ni mwandishi wa muswada na mwongozaji wa filamu,alikuwa ndiye muongozaji upande wa jukwaa katika ugawaji wa Tuzo .
Sehemu ambayo zilitolewa tuzo hizo ni kwenye Ukumbi wa Durbun International Convertion Center (ICC) katika mji wa Kwazulu-Natal, Afrika Kusini,
Tuko katika maboresho hivi karibuni
blog hii itakuwa ni site ambayo itaitwa www.bantutz.com ni katika hatua za
kuboresha huduma zetu za kutoa habari na burudani.Tutakuja katika muonekano
mpya na bora zaidi.Vitu vizuri vipya usivyotarajia utaviona na kufurahia
kupitia www.bantutz.com....
0 comments:
Post a Comment