"Maisha ni Hatua.. Nafkiri kwa mwaka huu ile ndio ilikuwa hatua yetu kwa
MTV...Cha muhimu ni kujua wapi tulipokua mwaka jana na wapi tulipo
leo... pia kujifunza na kujua ni nini cha kuongeza zaidi ili Next tym
tuzidi kufanya vyema....
Shukrani zangu nyingi ziende kwa ashabiki wote,Management, Media,Family,
wasanii na wadau Mbalimbali kwani kwa nguvu zao ndio zimefanya leo
kunisogeza toka sehem moja kwenda nyingine...Next stop #BET!!!... Asante
sana
Tuko katika maboresho hivi karibuni
blog hii itakuwa ni site ambayo itaitwa www.bantutz.com ni katika hatua za
kuboresha huduma zetu za kutoa habari na burudani.Tutakuja katika muonekano
mpya na bora zaidi.Vitu vizuri vipya usivyotarajia utaviona na kufurahia
kupitia www.bantutz.com....
0 comments:
Post a Comment