Kama mnavyojua dada yetu Masogange kwa muda sasa yupo nchini South Africa na
amekuwa sio mchoyo wa picha zake, wakati wote amekuwa anashare nasi
picha zake kupitia ukurasa wake wa Instagram
Sasa mimi sijajua Sauzi anafanya nini...(Kwa hapa huwa anajishughulisha na kazi ya u-Video Queen)
Kupitia kile anachoweka huko Instagram hatimaye imedhihilika wazi kwa
jamaa hapo pichani anaitwa Louis Dolnard... ndio mpango mzima kwa dada
yetu...TEMBEA NAMI
kwanza ya huyu jamaa alipost miezi miwili iliyopita!!
Wambea tukapotezea!!! Dah
Wiki iliyopita alitupia tena picha ya huyu jamaa bila kuandika chochote
......watu tukahisi kuna....kuna kitu kinaendelea
hapa....hahahahahaha!!!!
Na kweli toka jana usiku fujo ikaanza huko Instagram..Masogange aliweka
picha hapo chini na kuandika"Mtoto si unanielewa, in Diamond Voice
punde jamaa nae akaposti the same picha na kuandika "With my Everything
Daah kumbe nilikuwa nachelewa...jamaa kitambo alishawekawazi kupitia ukurasa wake wa Instagram.....
Alikuwa anawekapicha za Masogange na kufunguka ya moyoni......!!!
Tumehamia
katika site hii mpya na bado tuko katika maboresho,hii ni katika hatua za awali
kabisa kuiboresha site yetu na utoaji wa habari na burudani.Vitu vingi
vitaonekana katika site hii mpya hivi karibuni.Endelea kutembelea www.bantutz.com
0 comments:
Post a Comment