Chicharito amejiunga rasmi na klabu ya
nchini spain Real Madrid kwa mkopo wa
mwaka mmoja na chaguo la kuuzwa moja
kwa moja mwisho wa msimu kwa dau la paundi
milion 22
Monday, 1 September 2014
Chicharito ajiunga Real Madrid
Related Posts:
Louis Van Gaal kwenye mkutano wake na waandishi wa habari.Na hiki ndicho alichokisema..!!! Louis van Gaal kwenye mkutano na waandishi wa habari Old Trafford: "Nitafanya jitihada zote kwenye hii timu kubwa duniani. Ndani ya siku 2 tayari nimeshajua umuhimu wa Manchester United." "Nimefundisha Ajax timu … Read More
Filipe Luis rasmi Chelsea Chelsea na Atletico Madrid wamekubaliana dili la £35m kwa ajili ya huduma ya beki wa kushoto, mbrazil Filipe Luis ambaye atachukua nafasi ya mkongwe Ashley Cole aliyetimkia klabu ya Roma ya Italia. Filipe mwen… Read More
Tetesi za usajili katika magazeti mbalimbali barani Ulaya. Chelsea wako tayari kumuuza John Obi Mikel kwa pauni milioni 5 na klabu kadhaa za Serie A za Italia zimeambiwa zinaweza kumchukua (Daily Mail), Meneja wa Manchester City, Manuel Pellegrini amekataa kuzungumza … Read More
Filipe Luis atua Darajani. Chelsea wametoa taarifa ikisema imemsajili Filipe Luis kutoka Atletico Madrid ingawa bado "wanasubiri makubalano ya maslahi binafsi na beki huyo wa kushoto mwenye umri wa miaka 28". Mchezaji huyo wa Brazil, kwa … Read More
Tetesi za Usajili katika magazeti mbalimbali barani Ulaya. Chelsea wapo tayari kumuuza John Obi Mikel, 27, wakati wanapanga kumnyatia kiungo wa Real Madird Sami Khedira, 27 ambaye pia anatakiwa na Arsenal (Daily Express), Arsenal wanatarajia kuthibitisha siku … Read More
0 comments:
Post a Comment