Danny Welbeck ameondoka kwenye kambi ya
timu ya taifa ya Uingereza inayojiandaa na mechi za kirafiki na anafanyiwa vipimo kwenye klabu ya
Arsenal muda huu na anatatajiwa kusaini mkataba kwa mkopo wa muda mrefu
- Sky Sports
Monday, 1 September 2014
Danny Welbeck aelekea Arsenal.
Related Posts:
Tetesi za usajili katika magazeti mbalimbali barani Ulaya. Manchester United wamerejea tena kumfuatilia winga wa Real Madrid Angel Di Maria, 26, baada ya jaribio la kwenda Paris Saint Germain kugonga mwamba kuhusiana na ada ya uhamisho ya pauni milioni 45 (Sun), … Read More
Nigeria kuzungumza na Stephen Keshi NFF inajadiliana na Keshi kuhusu kandarasi mpya Shirikisho la kandanda la Nigeria NFF limesema kuwa linaanda mikakati ya kufanya mazun… Read More
Drogba arudi Chelsea. Mshambuliaji wa Ivory Coast Didier Drogba amesaini mkataba wa mwaka mmoja kujiunga tena na Chelsea. Drogba, 36, alishinda makombe 10 akiwa na Chelsea kuanzia mwaka 2004 hadi 2012, na alikuwa mchezaji… Read More
Lampard ajiunga rasmi na New York City FC. Frank Lampard amekamilisha uhamisho kujiunga na klabu ya ligi ya Marekani - MLS ya New York City FC baada ya kutambulishwa hii leo. Frank sasa ana miaka 36 na ameiwakilisha Chelsea kwa misimu 13 na kufunga bao 211 … Read More
Tetesi za usajili katika magazeti mbalimbali barani Ulaya. Kiungo wa Juventus Arturo Vidal ameipa pigo Manchester United kwa kudai hatokwenda Old Trafford (Daily Mail), Liverpool watatumia madai hayo kumfuatilia kwa makini Vi… Read More
0 comments:
Post a Comment