David Villa na Frank Lampard wamejiunga na New York FC
David
Villa na Frank Lampard wamejiunga na New York FC inayoshiriki ligi ya
Marekani - timu hiyo inamilikiwa na mmiliki wa Manchester City Sheikh
Mansour. Wachezaji hawa wawili leo walionekana katika hospital ya
Bri…Read More
Tetesi za usajili barani Ulaya...
Meneja Wa Arsenal Arsene Wenger yuko tayari kutumia kitita cha paundi
milioni 100 za usajili baada ya yeye mwenyewe kusaini mkataba wa miaka
mitatu (Daily Mail),
QPR wanataka kumsajili beki wa Man City Jol…Read More
Tetesi za Usajili barani Ulaya.
Meneja wa Arsenal, Arsene Wenger anafikiria kumsaini striker wa AC
Milan Mario Balotelli baada ya mchezaji huyo kuambiwa hahitajiki tena
San Siro (Daily Mirror), Liverpool, Chelsea na Tottenham pia zinaweza
kumfuatilia…Read More
Tetesi mbalimbali za Usajili barani Ulaya...
Beki wa Arsenal Bacary Sagna amethibitisha kuwa anaondoka Emirates na
huenda akaenda Manchester City (L'Equipe),
Atlètico Madrid wamekataa
paundi milioni 9 kutoka Arsenal za kumnunua Juanfran kuz…Read More
0 comments:
Post a Comment